Stella Mwangi (STL) ni mjamzito?

Wiki moja iliyopita tuliweka habari kuhusiana na STL kuzimia karibu mara kumi baada ya kufanya mazoezi ya kufuata maelekezo kwenye DVD iitwayo Insanity Workout. Kuna msomaji wetu wa Kenya akauliza kuwa kwanini azimie ama ni mtarajiwa? (Ana ujauzito). Kuanzia hapo tukaahidi kulifanyia kazi hilo kwakuwa msomaji huyo alisema zipo fununu kuwa rapper huyo mkenya aishie Norway ana ujauzito. Jumatano hii mtego wetu wa kutaka kujua kama STL kweli ni mjamzito umefanikiwa kupata hint kidogo juu ya fununu hizo. Ametweet mara mbili vitu ambavyo vinazua maswali mengi. Kwanza ametweet kwa kuandika “Ey kuna kandege kadogo ambako huniamsha kutoka kitandani kupitia dirisha la mlango wa chumba changu kila siku..!”

Hii inaweza isitupe clue zaidi lakini nyingine aliyotweet amesema, “Soooo nikipe maziwa ama kitu chochote? Kinataka nini kwani?
Ukijaribu kusoma ndani ya mistari ya alichokiandika you can smell something fishy! No speculations, lakini lisemwalo lipo.

Posted on 06:36. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Stella Mwangi (STL) ni mjamzito?

Leave comment

.

Popular Posts

.

2012 Tz Celebs. All Rights Reserved.