BBA: Camp Mulla waacha gumzo Afrika Kusini

Jumapili ilikuwa siku ya eviction ambapo wawakiilishi watatu walitoka ambao ni Dalphin wa Sierra Leone na waLiberia Yadel na Luke huku Zainab wa Sierra Leone akihamia Upville. Lakini kilichovutia zaidi ni show iliyopigwa na vijana watano wa kundi la Camp Mulla la nchini Kenya na ngoma yao Fresh all day. Waangalie jinsi walivyoshangiliwa.Posted on 23:09. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for BBA: Camp Mulla waacha gumzo Afrika Kusini

Leave comment

.

Popular Posts

.

2012 Tz Celebs. All Rights Reserved.